Pages

Monday, July 17, 2017

Stars yapewa vigezo vya kufuzu Chan

Taifa Stars inahitaji ushindi katika mchezo wake wa marudiano dhidi ya Rwanda ili kujihakikishia nafasi ya kusonga mbele kwenye harakati za kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (Chan).
Source

No comments:

Post a Comment