Pages

Sunday, May 29, 2016

Antonio Conte: Abramovich alituonyesha picha yako zamani

Maisha yalikuwa yanafukuza upepo msimu huu uliomalizika wa 2015/16 kwa wapenzi wa Ligi Kuu ya England. Leicester City alikuwa anaongoza ligi, mpinzani wake alikuwa Tottenham, na Chelsea hawakujulikana, walikufa kifo cha aina gani lakini walikwisha kuzikwa tayari.
Source

No comments:

Post a Comment